Habari

Mafunzo ya kuijengea uwezo kamati ya lishe mkoani Kagera
Imewekwa: 15th Mar, 2021Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania leo tarehe 15/03/2021imetoa mafunzo ya kuijengea uwezo kamati ya lishe ya Mkoa wa Kagera...Soma zaidi

Jukwaaa la Pamoja la Taarifa na Takwimu za Lishe Nchini sasa lazinduliwa rasmi.
Imewekwa: 17th Dec, 2020Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko akizungumza na watendaji wa Serikali ambao wanatakiwa kusimamia jukwaa la pamoja la taarifa na takwimu za lishe nchini (hawapo pichani)...Soma zaidi

Umuhimu wa Mwezi wa Afya na Lishe ya Mtoto
Imewekwa: 9th Dec, 2020Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania imetoa mafunzo kwa wanahabari kutoka Chama cha Waandishi wa Habari mkoa wa Dar es salaam, Kuhusu Umuhimu wa Mwezi wa Afya na Lishe ya Mtoto, ambao unahusisha huduma za utoaji wa matone ya Vitamini A...Soma zaidi

Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani 2020
Imewekwa: 29th Nov, 2020Katika kuelekea siku ya UKIMWI Duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo Disemba Mosi ya kila mwaka, Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania imeendelea kutoa elimu ya Lishe...Soma zaidi