Dhamira,Dira na Maadili
Dira: Kuwa Kituo cha ubora cha kutoa uongozi wa kimkakati katika mapambano dhidi ya aina zote za utapiamlo nchini.
Dhamira: Kuratibu, kuongoza na kuchochea utekelezaji wa afua madhubuti za lishe kwa lengo la kuzuia na kudhibiti matatizo ya utapiamlo nchini Tanzania.
Maadili ya msingi:
- Uwajibikaji
- Ushirikishwaji
- Heshima
- Usawa
- Uadilifu
- Utaalamu
- Uwazi
- Ufanisi