Dira, Dhima na Misingi

Dira:

Kuwa Kituo cha umahiri kinachotoa uongozi wa kimkakati katika lishe kwa wateja wetu na washirika, ndani na nje ya nchi.

Dhima:

Kuratibu, kuongoza na kuchochea utekelezaji wa afua madhubuti za lishe kwa lengo la kuzuia na kudhibiti matatizo ya utapiamlo nchini Tanzania.

Maadili ya msingi:

  • Uwajibikaji

  • Ushirikishwaji

  • Heshima

  • Usawa

  • Uadilifu

  • Utaalamu

  • Uwazi

  • Ufanisi