Habari

Tumieni taaluma zenu kutatua changamoto za masuala ya chakula na lishe kwenye jamii
Imewekwa: 26th Sep, 2023Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna, amefungua mafunzo elekezi kwa Waajiriwa wapya wa Taasisi, ambapo amewataka kutumia taaluma zao katika kusaidia kutatua changamoto mbalimbali za masuala ya chakula na lishe zinazoikabili jamii....Soma zaidi

Mwenyekiti wa Bodi ya TFNC akutana na Menejimenti na Watumishi
Imewekwa: 14th Sep, 2023Mwenyekiti Bodi ya Usimamizi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Bw. Obey Assery, leo Septemba 14, 2023...Soma zaidi

Wekeni kipaumbele kwenye utekelezaji wa afua za lishe
Imewekwa: 12th Sep, 2023Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imetoa wito kwa Serikali kuendelea kuweka kipaumbele katika utekelezaji wa afua mbalimbali za lishe nchini, ili kuwezesha kuwa Taifa lenye watu wenye afya na lishe bora...Soma zaidi

Dkt. Yonazi “wanaume muwe mstari wa mbele kushiriki masuala ya lishe”
Imewekwa: 11th Sep, 2023Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amewaasa wanaume kuwa mstari wa mbele kushiriki kwenye masuala yanayohusiana na lishe...Soma zaidi