Habari

Semina kwa Watafiti
Imewekwa: 23rd Dec, 2024Watafiti wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) Disemba 20, 2024 wamejengewa uwezo namna ya kutumia taaluma za kilimo, lishe na afya ili kuwawezesha kutumia uhusiano uliopo kati ya Kilimo,...Soma zaidi

KIKAO KAZI KUJADILI MATOKEO MRADI WA IMAN
Imewekwa: 14th Dec, 2024Novemba 13, 2024 Wajumbe wa Kamati ya Ushauri wa Kitaalamu ya kusimamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha lishe ya wanawake wajawazito (IMAN) uliotekelezwa mkoani Mbeya, wamekutana jijini Dodoma na kujadili masuala mbalimbali kuhusiana na matokeo ya utafiti wa mradi huo....Soma zaidi

MAFUNZO KWA WATAALAMU WA TAKWIMU
Imewekwa: 9th Dec, 2024Watalaamu wa Takwimu wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na OCGS ni miongoni mwa wataalamu walioshiriki mafunzo ya kujengewa uwezo namna ya kuchambua data ya umasikini wa chakula kwa Mtoto nchini Tanzania....Soma zaidi

Watafiti wa TFNC wajengewa uwezo
Imewekwa: 30th Nov, 2024Watafiti wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) Novemba 28, 2024, wamejengewa uwezo wa namna ya ....Soma zaidi