Habari

news image

Kikao cha Tathmini Mradi wa IMAN

Imewekwa: 28th Jan, 2025

​Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania kwa kushirikiana na UNICEF, leo Januari 28, 2024 imekutana na wadau wa lishe nchini na kufanya tathmini ya Mradi...Soma zaidi

news image

Mpango Mkakati wa Kisekta wa Lishe Zanzibar 2025-2029

Imewekwa: 17th Jan, 2025

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekuwa ikichukua juhudi mbali mbali za kuhahakisha huduma ya lishe inaimarika ili wananchi wawe na Afya bora....Soma zaidi

news image

TFNC yapokea wageni kutoka DANISH-NATCOM na UNICEF Tanzania

Imewekwa: 17th Jan, 2025

Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) imetembelewa na wageni kutoka Shirika la DANISH- NATCOM, wakiongozana na Maafisa wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia...Soma zaidi

news image

Kikao kazi cha Ushirikiano

Imewekwa: 7th Jan, 2025

​Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakuka na Lishe Tanzania, Dkt. Germana Leyna akiongea na viongozi wa Shirikisho la Sanaa za Maonesho Tanzania wakiongozwa na Rais wa Shirikisho...Soma zaidi