Habari

Maadhimisho Wiki ya Unyonyeshaji Maziwa ya Mama 1-7 Agosti, 2024
Imewekwa: 3rd Aug, 2024Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) imeendelea kutoa elimu ya lishe bora kwa akina mama wanaonyonyesha ili kumwezesha mama kuwa na maziwa ya kutosha kwa ajili ya Mtoto...Soma zaidi

Mkutano wa kikanda wa kujali Mikakati ya kupambana na upungufu wa damu
Imewekwa: 1st Aug, 2024Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna pamoja Meneja wa Maabara ya Taasisi Bwa. Tedson Lukindo, wameshiriki kwenye Mkutano wa kikanda wa kujali Mikakati ya kupambana...Soma zaidi

Elimu ya lishe inaendelea kutolewa
Imewekwa: 12th Jun, 2024Afisa Lishe Mtafiti Mwandamizi wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Bi.Maria Ngilisho, akiendelea kutoa elimu ya Lishe kwa wakazi waliokuwa wakielekea Mbagala...Soma zaidi

Wadau wa lishe wahimizwa kuendelea kuisaidia serikali kwenye tafiti za lishe
Imewekwa: 12th Jun, 2024Wadau na wafadhili wa shughuli za lishe nchini, wameshauriwa kujitokeza na kuisaidia Serikali rasilimali fedha, na...Soma zaidi