Habari

news image

Wanafunzi wasioona shule ya msingi mgeza mseto bukoba wapatiwa vitabu vya braille na radio zenye ujumbe muhimu wa lishe

Imewekwa: 8th Apr, 2024

Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) imekabidhi vitabu 30 na radio 50 zenye ujumbe muhimu wa lishe kwa watu wasioona vilivyoandaliwa kwa maandishi ya nukta nundu (Braille)...Soma zaidi

news image

Kikao cha Mwenyekiti wa Bodi ya TFNC na Menejimenti

Imewekwa: 29th Mar, 2024

Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Bw. Obey Assery, leo Machi 27, 2024, amekutana na Menejimenti ya Taasisi na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo kupokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali ambazo zimetekelezwa na Taasisi....Soma zaidi

news image

Ziara ya Katibu Mkuu Wizara ya Afya katika Maabara ya TFNC

Imewekwa: 24th Mar, 2024

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu tarehe 22 Machi, 2024 amefanya ziara kwenye Maabara ya Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNC) iliyopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kukagua na kuona kazi zinazofanyika katika maabara hiyo....Soma zaidi

news image

Watoto milioni 11 wenye umri chini ya miaka 5 nchini kupatiwa matone ya vitamini A Juni 2024

Imewekwa: 14th Mar, 2024

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi vidonge vya matone vya Vitamini A milioni 22 kwa Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mhe. Godwin Mollel kwa niaba ya Waziri ya Afya Mhe. Ummy Mwalimu....Soma zaidi