Habari

TFNC ya shiriki Mkutano wa Kimataifa kuhusu Virutubishi vya Madini na Vitamini nchini Uholanzi
Imewekwa: 20th Oct, 2023Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna, ameshiriki Mkutano wa Kimataifa wa kujadili masuala mbalimbali...Soma zaidi

Kikao kazi cha wajumbe wa kamati ya wataalamu kujadili masuala ya Lishe nchini
Imewekwa: 10th Oct, 2023Wajumbe wa kamati ya Wataalamu ya kuhamasisha na kuendeleza masuala ya Lishe nchini, Oktoba 9, 2023 wamekutana jijini Dar es Salaam na kujadili masuala mbalimbali...Soma zaidi

Tumieni taaluma zenu kutatua changamoto za masuala ya chakula na lishe kwenye jamii
Imewekwa: 26th Sep, 2023Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna, amefungua mafunzo elekezi kwa Waajiriwa wapya wa Taasisi, ambapo amewataka kutumia taaluma zao katika kusaidia kutatua changamoto mbalimbali za masuala ya chakula na lishe zinazoikabili jamii....Soma zaidi

Mwenyekiti wa Bodi ya TFNC akutana na Menejimenti na Watumishi
Imewekwa: 14th Sep, 2023Mwenyekiti Bodi ya Usimamizi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Bw. Obey Assery, leo Septemba 14, 2023...Soma zaidi