Habari

news image

Wekeni kipaumbele kwenye utekelezaji wa afua za lishe

Imewekwa: 12th Sep, 2023

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imetoa wito kwa Serikali kuendelea kuweka kipaumbele katika utekelezaji wa afua mbalimbali za lishe nchini, ili kuwezesha kuwa Taifa lenye watu wenye afya na lishe bora...Soma zaidi

news image

Dkt. Yonazi “wanaume muwe mstari wa mbele kushiriki masuala ya lishe”

Imewekwa: 11th Sep, 2023

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amewaasa wanaume kuwa mstari wa mbele kushiriki kwenye masuala yanayohusiana na lishe...Soma zaidi

news image

TFNC yashiriki mjadala wa kisera kuhusu mfumo wa ununuzi wa vyakula

Imewekwa: 8th Sep, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna (wa pili kushoto), leo ameshiriki...Soma zaidi

news image

Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa UN atembelea Maabara ya TFNC

Imewekwa: 7th Sep, 2023

Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa UN anayeratibu vuguvugu la lishe (Scaling Up Nutrition -SUN) Bi. Afshan Khan akiwa na Wajumbe wengine kutoka Ofisi ya Kanda ya SUN...Soma zaidi