Habari

Vyombo vya habari endeleeni kutoa elimu ya unyonyeshaji maziwa ya mama
Imewekwa: 4th Aug, 2023Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, Dkt. Germana Leyna akifungua semina ya waandishi wa habari mkoa wa Dar es salaam kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji wa Maziwa ya Mama...Soma zaidi

Mkurugenzi Mtendaji TFNC akutana na Mwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha New York
Imewekwa: 30th Jul, 2023Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna akiwa na Menejimenti ya Taasisi, amekutana na kufanya mazungumzo na mwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha New York kilichopo nchini Marekani Prof. Amr Soliman...Soma zaidi

GAIN kuendelea kushirikiana na Serikali kuongeza virutubishi kwenye chakula
Imewekwa: 24th Jul, 2023Shirika la Global Alliance For Improved Nutrition (GAIN) limesisitiza litaendelea kushirikiana na Serikali hususani kupitia Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, kuendelea kuelimisha umma juu ya umuhimu wa kutumia vyakula vilivyoongezwa virutubishi ikiwemo unga wa Mahindi, Ngano,...Soma zaidi

Kikao kazi cha kuandaa Mwongozo wa utoaji elimu ya lishe cha fanyika mkoani Mbeya
Imewekwa: 21st Jul, 2023Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Lishe Wizara ya Afya, Neema Joshua akielezea kwa ufupi malengo ya kikao kazi cha kuandaa Mwongozo wa utoaji elimu ya lishe utakaotumiwa na viongozi wa dini Tanzania Bara....Soma zaidi