Habari

news image

TFNC yashiriki mjadala wa kisera kuhusu mfumo wa ununuzi wa vyakula

Imewekwa: 8th Sep, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna (wa pili kushoto), leo ameshiriki...Soma zaidi

news image

Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa UN atembelea Maabara ya TFNC

Imewekwa: 7th Sep, 2023

Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa UN anayeratibu vuguvugu la lishe (Scaling Up Nutrition -SUN) Bi. Afshan Khan akiwa na Wajumbe wengine kutoka Ofisi ya Kanda ya SUN...Soma zaidi

news image

Mwenyekiti wa Bodi ya TFNC akutana na Menejimenti

Imewekwa: 31st Aug, 2023

Mwenyekiti Bodi ya Usimamizi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Bw. Obey Assery, amekutana na Menejimenti ya Taasisi na kujadili masuala mabalimbali ikiwemo kuwapatia mrejesho wa maelekezo yaliyotolewa na Mhe. Rais Dkt Samia...Soma zaidi

news image

Mkutano wa Tathmini ya saba ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe umefanyika jijini Dodoma

Imewekwa: 29th Aug, 2023

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Mhe.Angellah Kairuki akimsikiliza Bw. Idd Omary, akisoma ujumbe wa lishe kwa watu wasiiona kupitia kitabu cha maandishi ya nukta nundu kilichoandaliwa...Soma zaidi