Habari

SAKURA SCIENCE exchange program conducted
Imewekwa: 25th Aug, 2023Tanzania Food and Nutrition Centre staff attended SAKURA SCIENCE exchange program in Japan...Soma zaidi

Naibu Katibu Mkuu (Afya)TAMISEMI Dkt. Charles atembelea TFNC
Imewekwa: 25th Aug, 2023Naibu Katibu Mkuu (Afya) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Wilson Charles, amekutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Taasisi...Soma zaidi

Vyombo vya habari endeleeni kutoa elimu ya unyonyeshaji maziwa ya mama
Imewekwa: 4th Aug, 2023Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, Dkt. Germana Leyna akifungua semina ya waandishi wa habari mkoa wa Dar es salaam kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji wa Maziwa ya Mama...Soma zaidi

Mkurugenzi Mtendaji TFNC akutana na Mwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha New York
Imewekwa: 30th Jul, 2023Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna akiwa na Menejimenti ya Taasisi, amekutana na kufanya mazungumzo na mwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha New York kilichopo nchini Marekani Prof. Amr Soliman...Soma zaidi