Habari

news image

Ziara ya Katibu Mkuu Wizara ya Afya katika Maabara ya TFNC

Imewekwa: 24th Mar, 2024

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu tarehe 22 Machi, 2024 amefanya ziara kwenye Maabara ya Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNC) iliyopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kukagua na kuona kazi zinazofanyika katika maabara hiyo....Soma zaidi

news image

Watoto milioni 11 wenye umri chini ya miaka 5 nchini kupatiwa matone ya vitamini A Juni 2024

Imewekwa: 14th Mar, 2024

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi vidonge vya matone vya Vitamini A milioni 22 kwa Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mhe. Godwin Mollel kwa niaba ya Waziri ya Afya Mhe. Ummy Mwalimu....Soma zaidi

news image

Mikakati ya kukabiliana na udumavu mkoa wa njombe

Imewekwa: 1st Mar, 2024

Mikakati ya kukabiliana na udumavu mkoa wa njombe na kujadili namna ya Ushirikiano katika kampeni iliyoanzishwa na Mkoa huo katika kuharakisha kasi ya mapambano dhidi ya utapiamlo hususani udumavu na Taasisi ya JMKF....Soma zaidi

news image

TFNC na WFP yagawa vitabu vya braille na radio zenye ujumbe wa lishe kwa watu wasioona

Imewekwa: 24th Feb, 2024

Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) imekabidhi vitabu 170 kati ya 500 vyenye ujumbe muhimu wa lishe kwa watu wasioona vilivyoandaliwa kwa maandishi ya nukta nundu (Braille) pamoja na redio 50 kati ya 500...Soma zaidi