Habari

news image

Wadau wa lishe wakutana siku mbili

Imewekwa: 17th May, 2019

Wadau wa lishe nchini Tanzania wamekutana katika kikao kazi cha siku mbili kilichofanyika Mei 15 na Mei 16, 2019 katika ukumbi wa Protea jijini Dar es salaam na kujadili namna ya kufanya mapitio ya kati ya utekelezaji wa mpango jumuishi wa kitaifa wa lishe wa miaka mitano ulioanza kutekelezwa mwaka 2016 hadi 2021. ...Soma zaidi

news image

TFNC yapongezwa kwa maandalizi ya wiki ya unyonyeshaji duniani

Imewekwa: 4th Apr, 2019

Kamati ya kitaifa ya lishe ya wajawazito, watoto wachanga, watoto wadogo na vijana balehe imeipongeza Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) kwa kuanza mapema maandalizi ya maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji duniani kwa mwaka 2019....Soma zaidi

news image

Dodoma na Singida kupambana na utapiamlo kwa kutumia virutubishi mchanganyiko

Imewekwa: 3rd Apr, 2019

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Mafunzo ya Lishe kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Sikitu Simon amesema kwamba Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kupitia mradi wa Boresha Lishe...Soma zaidi

news image

Watoa huduma katika vituo vya afya Dodoma wapatiwa mafunzo ya mkoba wa siku 1000

Imewekwa: 5th Mar, 2019

Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) kupitia ufadhili wa shirika lisilo la kiserikali la Madaktari Pamoja na Afrika (CUAMM) imetoa mafunzo ya mkoba wa siku 1000 kwa watoa huduma wa ngazi ya vituo vya afya mkoani Dodoma....Soma zaidi