Uji uliotengezwa kwa unga wa mchicha

Imewekwa: 15th Mar, 2025
Baadhi ya washiriki wakijaza dodoso baada ya kuonja sampuli za uji uliotengezwa kwa unga wa mchicha ikiwa ni sehemu ya utafiti unaoendelea kufanywa na Taasisi ya Chakula la Lishe Tanzania (TFNC) wa kutengeneza chakula cha nyongeza kwa watoto wenye umri miezi sita na kuendelea ili kuboresha hali zao za afya na lishe.