Habari

Mpango Mkakati wa Kisekta wa Lishe Zanzibar 2025-2029
Imewekwa: 17th Jan, 2025Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekuwa ikichukua juhudi mbali mbali za kuhahakisha huduma ya lishe inaimarika ili wananchi wawe na Afya bora....Soma zaidi

TFNC yapokea wageni kutoka DANISH-NATCOM na UNICEF Tanzania
Imewekwa: 17th Jan, 2025Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) imetembelewa na wageni kutoka Shirika la DANISH- NATCOM, wakiongozana na Maafisa wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia...Soma zaidi

Kikao kazi cha Ushirikiano
Imewekwa: 7th Jan, 2025Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakuka na Lishe Tanzania, Dkt. Germana Leyna akiongea na viongozi wa Shirikisho la Sanaa za Maonesho Tanzania wakiongozwa na Rais wa Shirikisho...Soma zaidi

Semina kwa Watafiti
Imewekwa: 23rd Dec, 2024Watafiti wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) Disemba 20, 2024 wamejengewa uwezo namna ya kutumia taaluma za kilimo, lishe na afya ili kuwawezesha kutumia uhusiano uliopo kati ya Kilimo,...Soma zaidi