Washiriki wa mafunzo ya tathimini ya lishe, unasihi na huduma za lishe kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI na TB

News Image

Imewekwa: 25th Nov, 2025

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya tathimini ya lishe, unasihi na huduma za lishe kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI na TB wakifanya jaribio la awali kwa ajili ya kupima uelewa wao kabla ya kuanza mafunzo hayo.

Mafunzo haya yanatolewa kwa siku nne (25 - 28, Novemba, 2025) na TFNC kwa watoa huduma za afya, maafisa usawi na maaendelo ya jamii ili kuwaongezea ufanisi katika majukumu yao ya kila siku.