KIKAO KAZI
08 Oct, 2025
KIKAO KAZI
Oktoba 7, 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) Dkt. Germana Leyna, amefanya kikao na Menejimenti, wakuu wa Vitengo na wakuu wa sehemu wa Taasisi kwa lengo la kutathmini kwa kina utekelezaji wa majukumu ya Taasisi katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2025/26