Mafunzo ya namna ya kuratibu mikakati jumuishi ya kisekta kwenye lishe

News Image

Imewekwa: 16th Dec, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna (wa nne kulia mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wengine wa mafunzo ya namna ya kuratibu mikakati jumuishi ya kisekta kwenye lishe, mafunzo yaliyofanyika hivi karibuni nchini Zimbabwe.

Mafunzo hayo yalifanyika na kuratibiwa na Jukwaa la Vuguvugu la Lishe (Scaling Up Nutrition Network)