Habari

news image

MAFUNZO KWA WATAALAMU WA TAKWIMU

Imewekwa: 9th Dec, 2024

Watalaamu wa Takwimu wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na OCGS ni miongoni mwa wataalamu walioshiriki mafunzo ya kujengewa uwezo namna ya kuchambua data ya umasikini wa chakula kwa Mtoto nchini Tanzania....Soma zaidi

news image

Watafiti wa TFNC wajengewa uwezo

Imewekwa: 30th Nov, 2024

Watafiti wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) Novemba 28, 2024, wamejengewa uwezo wa namna ya ....Soma zaidi

news image

MAFUNZO YA UTEKELEZAJI WA UTAFITI WA FORTIMAS MKOA WA MTWARA

Imewekwa: 15th Nov, 2024

Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Iodine Global Network, leo Novemba 4, 2024 imetoa mafunzo kwa watendaji wa ngazi ya mkoa na halmashauri ya Mtwara, kuhusu namna watakavyoshiriki...Soma zaidi

news image

​LISHE BORA NI MUHIMU KWA WANAFUNZI- DR. MTAHABWA

Imewekwa: 15th Nov, 2024

Lishe Bora ni muhimu kwa wanafunzi ili kuwawezesha kuwa na afya bora kimwili na kiakili hivyo kuweza kushiriki vema katika masomo.Hayo yameelezwa na Kamishna wa Elimu...Soma zaidi