Wazazi na walezi wa wanafunzi shule ya msingi Charambe wakichangia mada
21 Feb, 2026
Wazazi na walezi wa wanafunzi shule ya msingi Charambe wakichangia mada
Baadhi ya wazazi na walezi wa wanafunzi shule ya msingi Charambe iliyopo Manispaa ya Temeke, jijini Dar es salaam wakichangia mada wakati wa kikao cha kuhamasisha kuchangia chakula wanachopewa watoto shuleni ikiwa ni utekelezaji wa mradi wa Afya na Lishe unaotekelezwa katika shule za msingi 15 za Manispaa ya Temeke.