05 Mar, 2026
Machi 2, 2026 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) Dkt. Germana Leyna, amefanya kikao na Watumishi wote wa Taasisi, kikao kilicholenga kujadili na kutathmini kwa kina utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya Taasisi.
