Habari

news image

Kuwajengea uwezo maafisa lishe kutoka mikoa 26

Imewekwa: 10th Feb, 2024

Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania kwa kushirikiana na IFNA (Initiative for Food and Nutrition Security in Africa) Secretariat na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Japani (JICA) imeendesha mafunzo ya siku 3 kwa Maafisa lishe...Soma zaidi

news image

Rais wa Shirika la Kimataifa la Nutrition International atembelea TFNC

Imewekwa: 10th Feb, 2024

Rais wa Shirika la Kimataifa la Nutrition International (NI) kutoka Canada, Bw. Joel Spicer amefanya ziara Tanzania na kutembelea Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC)...Soma zaidi

news image

Utafiti wa gharama za utapiamlo (COHA) wapamba moto

Imewekwa: 10th Feb, 2024

Timu ya Taifa ya utekelezajia wa zoezi la Utafiti unaohusu gharama za Utapiamlo nchini yaani “ The Cost of Hunger in Africa -COHA ” wamekutana mkoani Morogoro kupitia na kufanya uchambuzi wa taarifa mbalimbali...Soma zaidi

news image

Watumishi wa Maabara ya TFNC, wakipatiwa mafunzo ya ndani ya Mifumo ya Ubora wa Maabara

Imewekwa: 25th Jan, 2024

Watumishi wa Maabara ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, wakipatiwa mafunzo ya ndani ya Mifumo ya Ubora wa Maabara (Quality Management System) katika kutekeleza mkakati wa kuboresha huduma za maabara na kuanzisha mchakato...Soma zaidi