Habari

Kikao cha Mwenyekiti wa Bodi ya TFNC na Menejimenti
Imewekwa: 29th Mar, 2024Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Bw. Obey Assery, leo Machi 27, 2024, amekutana na Menejimenti ya Taasisi na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo kupokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali ambazo zimetekelezwa na Taasisi....Soma zaidi

Ziara ya Katibu Mkuu Wizara ya Afya katika Maabara ya TFNC
Imewekwa: 24th Mar, 2024Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu tarehe 22 Machi, 2024 amefanya ziara kwenye Maabara ya Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNC) iliyopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kukagua na kuona kazi zinazofanyika katika maabara hiyo....Soma zaidi

Watoto milioni 11 wenye umri chini ya miaka 5 nchini kupatiwa matone ya vitamini A Juni 2024
Imewekwa: 14th Mar, 2024Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi vidonge vya matone vya Vitamini A milioni 22 kwa Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mhe. Godwin Mollel kwa niaba ya Waziri ya Afya Mhe. Ummy Mwalimu....Soma zaidi

Mikakati ya kukabiliana na udumavu mkoa wa njombe
Imewekwa: 1st Mar, 2024Mikakati ya kukabiliana na udumavu mkoa wa njombe na kujadili namna ya Ushirikiano katika kampeni iliyoanzishwa na Mkoa huo katika kuharakisha kasi ya mapambano dhidi ya utapiamlo hususani udumavu na Taasisi ya JMKF....Soma zaidi