Habari

Ukiliona kituoni usisite kupanda
Imewekwa: 9th Jun, 2024Mkazi wa Dar es Salaam, Mbeya na Unguja Zanzibar, Ukikutana na Daladala hii kwenye kituo chako usisite kulipanda,...Soma zaidi

Kampeni ya lishe bora kwa njia ya daladala yazinduliwa rasmi
Imewekwa: 5th Jun, 2024Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), kwa kushirikiana na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), wamezindua rasmi kampeni ya Lishe Bora kwa Njia ya Daladala, ikilenga kuongeza uelewa kwa wanajamii wote juu matumizi sahihi ya chakula ili kuhamasisha ulaji unaofaa...Soma zaidi

Virutubishi vinavyoongezwa kwenye chakula sasa kuanza kuzalishwa nchini
Imewekwa: 3rd Jun, 2024Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, amesema Tanzania inatarajia kuachana na kuagiza Virutubishi...Soma zaidi

Dkt. Yonazi aongoza kikao cha wadau wa lishe kuelekea maandalizi ya mkutano mkuu wa wadau wa lishe nchini.
Imewekwa: 25th May, 2024Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt.Jim Yonazi leo Mei 24 2024, ameongoza kikao cha Wadau wa lishe...Soma zaidi