09 Sep, 2025
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya Dkt. Ntuli Kapologwe, Leo Novemba 17 2023 , amekutana na Menejimenti ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo Mikakati ya utoaji wa elimu ya masuala ya Chakula na Lishe kwa umma wa Watanzania.
