Kikao kazi cha wajumbe wa kamati ya wataalamu kujadili masuala ya Lishe nchini

News Image

Imewekwa: 10th Oct, 2023

Wajumbe wa kamati ya Wataalamu ya kuhamasisha na kuendeleza masuala ya Lishe nchini, Oktoba 9, 2023 wamekutana jijini Dar es Salaam na kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kilishe.
Katika Kikao hicho kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Bunge zilizopo jijini Dar es Salaam, kimeshirikisha wataalamu mbalimbali kutoka Wizara ya Afya, OR-TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake, na Makundi Maalum, Taasisi Vyuo Vikuu, Mashirika pamoja na Wadau wa Maendeleo.
Wajumbe wa Kamati ya Wataalamu wa kamati ya Usimamizi wa Masuala ya Lishe nchini, leo Oktoba 10, 2023, wamekutana jijini Dar es Salaam na kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Kilishe.
Kikao hicho kilichofanyika katika ofisi ndogo za Bunge zilizopo Jijini Dar es Salaam, kimeshirikisha wataalamu mbalimbali kutoka Wizara, Taasisi za Serikali, Taasisi za Vyuo Vikuu, Mashirika yasiyo ya Kiserikali, Pamoja na Wadau wengine wa maendeleo.