Habari

news image

Wadau wa lishe wahimizwa kuendelea kuisaidia serikali kwenye tafiti za lishe

Imewekwa: 12th Jun, 2024

Wadau na wafadhili wa shughuli za lishe nchini, wameshauriwa kujitokeza na kuisaidia Serikali rasilimali fedha, na...Soma zaidi

news image

Chuo kikuu cha TSING HUAN na TFNC zaungana kukabiliana na tatizo la upungufu wa damu kwa vijana balehe

Imewekwa: 9th Jun, 2024

Taasisi ya Chakula na Lishe kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Tsing Huan cha nchini China, wapo katika utekelezaji wa mradi wa majaribio wa utengenezaji asusa zilizoongezwa madini na Vitamini (Zinki, Magneziamu, Vitamini A n.k)...Soma zaidi

news image

Ukiliona kituoni usisite kupanda

Imewekwa: 9th Jun, 2024

Mkazi wa Dar es Salaam, Mbeya na Unguja Zanzibar, Ukikutana na Daladala hii kwenye kituo chako usisite kulipanda,...Soma zaidi

news image

Kampeni ya lishe bora kwa njia ya daladala yazinduliwa rasmi

Imewekwa: 5th Jun, 2024

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), kwa kushirikiana na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), wamezindua rasmi kampeni ya Lishe Bora kwa Njia ya Daladala, ikilenga kuongeza uelewa kwa wanajamii wote juu matumizi sahihi ya chakula ili kuhamasisha ulaji unaofaa...Soma zaidi