Chuo cha Utumishi wa Umma kimetoa mafunzo kwa Menejimenti ya TFNC
Imewekwa: 11th Sep, 2024
Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) kwa kushirikiana na Chuo cha Utumishi wa Umma imetoa mafunzo kwa Menejimenti ya TFNC wakiwemo Wakuu wa idara, Vitengo na Sehemu yanayolenga kuwajengea uwezo na kuongeza ufanisi katika kusimamia utendaji kazi kwa watumishi waliopo chini yao yaliyoanza tarehe 09 Septemba, 2024.