Kikao kwa ajili ya kushirikiana katika eneo la utekelezaji wa mradi wa IMAN

News Image

Imewekwa: 20th Aug, 2024

Tarehe 19 Agosti, 2024 Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) imetembelewa na wageni kutoka Shirika la Kimataifa la Evidence Action la nchini Marekani ambapo kwa Afrika Ofisi zake zipo Nairobi nchini Kenya, na wamekuja kujifunza namna mradi wa IMAN uliolenga kuboresha lishe na afya za akina mama wajawazito nchini ulivyotekelezwa.

Aidha Shirika hilo limeonesha nia ya kushirikiana na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania hususani kwenye kuongeza eneo la utekelezaji wa mradi huo wa IMAN