Habari

news image

Kikao cha Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Menejimenti ya TFNC

Imewekwa: 19th Nov, 2023

Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya Dkt. Ntuli Kapologwe, Novemba 17 2023 , amekutana na Menejimenti ya Taasisi...Soma zaidi

news image

Waziri wa Afya azindua rasmi Mwongozo wa Taifa wa Chakula na Ulaji

Imewekwa: 17th Nov, 2023

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezindua rasmi Mwongozo wa Taifa wa Chakula na Ulaji, uliandaliwa ili kuhamasisha matumizi sahihi...Soma zaidi

news image

IGAD yaichagua Taasisi ya chakula na lishe Tanzania kuwa kituo umahiri cha kikanda.

Imewekwa: 11th Nov, 2023

Taasisi ya Chakula na Lishe kuwa kituo cha umahiri cha Kikanda kitakachotumika katika kupanga, kupima. Kuchakata na kujenga uwezo wa vituo vingine katika taarifa za lishe zinazotokana na sampuli za vyakula na binadamu....Soma zaidi

news image

Mkutano Mkuu wa tisa wa wadau wa lishe

Imewekwa: 26th Oct, 2023

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akitembelea mabanda mbalimbali ya Maonesho ili kujionea utekelezaji wa afua za lishe wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Lishe uliofanyika katika Hotel ya Mount Meru jijini Arusha, ambapo Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasmi katika Mkutano huo...Soma zaidi