Kikao kazi cha Ushirikiano

News Image

Imewekwa: 7th Jan, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakuka na Lishe Tanzania, Dkt. Germana Leyna akiongea na viongozi wa Shirikisho la Sanaa za Maonesho Tanzania wakiongozwa na Rais wa Shirikisho hilo, Dkt. Cynthia Mwambeleko Henjewele juu ya namna ya kushirikiana katika programu mbali mbali za uelimishaji zenye lengo la kutoa elimu kwa jamii kuhusu masuala ya Lishe bora.