Kikao cha Tathmini Mradi wa IMAN

Imewekwa: 28th Jan, 2025
Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania kwa kushirikiana na UNICEF, leo Januari 28, 2024 imekutana na wadau wa lishe nchini na kufanya tathmini ya Mradi wa Kuboresha lishe kwa wanawake wajawazito (IMAN) uliotekelezwa mkoani Mbeya, ili kuweza kuishauri Serikali juu ya kuimarisha zaidi program ya MYCAN nchini.