Kikao cha Matokeo ya Utafiti wa Gharama za Utapiamlo nchini.

Imewekwa: 28th Feb, 2025
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Bw. Paul Sangawe ameongoza Kikao cha Wakurugenzi kujadili Matokeo ya Utafiti wa Gharama za Utapiamlo nchini.