Habari

Mhe.Rais Samia apata Tuzo ya Lishe
Imewekwa: 25th Oct, 2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo ya heshima kwa kuwa kinara katika masuala yanayohusu Lishe wakati wa Kilele cha Siku ya Lishe Kitaifa....Soma zaidi

Tutumie wiki la maonesho ya Siku ya Lishe Kitaifa kupata elimu ya Lishe – Balozi, Dkt. Buriani
Imewekwa: 21st Oct, 2021Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Buriani amewataka wakazi wa mkoa wa Tabora na mikoa jirani kujitokeza kwa wingi katika viwanja vya Nane nane Ipuli...Soma zaidi

Kikomba cha Ushindi wa Banda lenye ubuni - TFNC
Imewekwa: 20th Oct, 2021Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt.Germana Leyna akipokea kikombe...Soma zaidi

SIKU YA LISHE KITAIFA KUFANYIKA OKTOBA 23, 2021 MKOANI TABORA
Imewekwa: 18th Oct, 2021Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Lishe Kitaifa kwa mwaka 2021 yanatarajiwa kuadhimishwa ifikapo Oktoba 23, Mkoani Tabora ambapo kwa mwaka huu yataambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo...Soma zaidi