Kuwajengea uwezo maafisa lishe kutoka mikoa 26

News Image

Imewekwa: 10th Feb, 2024

Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania kwa kushirikiana na IFNA (Initiative for Food and Nutrition Security in Africa) Secretariat na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Japani (JICA) imeendesha mafunzo ya siku 3 kwa Maafisa lishe kutoka Mikoa 26 nchini yakilenga kuwajengea uwezo wa namna ya kuchambua matatizo ya lishe na visababishi vyake, pamoja na kuandaa afua za kuweza kutatua matatizo hayo.


Ms. Taira Tomoko kutoka JICA makao Makuu Tokyo, akizungumza wakati wa mafunzo ya maafisa lishe wa mikoa yanayoendelea kufanyika mkoani Dodoma, yakilenga kuwajengea uwezo wa namna ya kuchambua matatizo ya lishe na visababishi vyake, pamoja na kuandaa afua za kuweza kutatua matatizo hayo.

Afisa Lishe Matafiti kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Bi. Julieth Itatiro akizungumza wakati wa mafunzo ya Maafisa lishe wa mikoa yanayohitimishwa leo jijini Dodoma ambayo yalilenga kuwajengea uwezo wa namna ya kuchambua matatizo ya lishe na visababishi vyake, pamoja na kuandaa afua za kuweza kutatua matatizo hayo.