Habari

Rais wa Shirika la Kimataifa la Nutrition International atembelea TFNC
Imewekwa: 10th Feb, 2024Rais wa Shirika la Kimataifa la Nutrition International (NI) kutoka Canada, Bw. Joel Spicer amefanya ziara Tanzania na kutembelea Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC)...Soma zaidi

Utafiti wa gharama za utapiamlo (COHA) wapamba moto
Imewekwa: 10th Feb, 2024Timu ya Taifa ya utekelezajia wa zoezi la Utafiti unaohusu gharama za Utapiamlo nchini yaani “ The Cost of Hunger in Africa -COHA ” wamekutana mkoani Morogoro kupitia na kufanya uchambuzi wa taarifa mbalimbali...Soma zaidi

Watumishi wa Maabara ya TFNC, wakipatiwa mafunzo ya ndani ya Mifumo ya Ubora wa Maabara
Imewekwa: 25th Jan, 2024Watumishi wa Maabara ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, wakipatiwa mafunzo ya ndani ya Mifumo ya Ubora wa Maabara (Quality Management System) katika kutekeleza mkakati wa kuboresha huduma za maabara na kuanzisha mchakato...Soma zaidi

Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Afya na Lishe na Mkakati na Mwongozo wa Elimu ya Afya na Lishe katika Skuli za Zanzibar
Imewekwa: 11th Dec, 2023Leo Disemba 11, 2023 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna, ameshiriki katika hafla...Soma zaidi