Semina ya Watafiti wa TFNC

Imewekwa: 2nd Sep, 2022
Afisa Lishe Mtafiti Eliasaph Mwanakulijira na Msimamizi wa programu ya Kozi zinazotolewa Mtandaoni kuhusu Masuala ya Chakula na Lishe na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania , akiwasilisha mada kwa Maafisa wa Tafiti wa Taasisi kuhusu hatua zilizofikiwa na Taasisi ya Chakula na Lishe kuwa mtoaji wa mafunzo ya maendeleo ya kitaalamu (Continuing Professional Development –CPD), Katika semina ya watafiti ambayo hufanyika kila Ijumaa katika ukumbi wa Mikutano wa Taasisi.