KIKAO KAZI

Imewekwa: 2nd Sep, 2022
Wadau mbalimbali wa masuala ya Lishe kutoka Wizara, Taasisi za Elimu ya juu, na wadau wa Maendeleo wakiwa katika kikao kazi cha kamati za kisekta zinazohusiana na usimamizi wa utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Kitaifa wa Masuala ya Lishe Awamu II (NMNAP II).
Kikao kazi hicho kimefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania