Semina ya kujengewa uelewa kuhusu Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote

News Image

Imewekwa: 12th Oct, 2022

Wafanyakazi wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania wakiwa katika semina ya kujengewa uelewa kuhusu Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote, iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania na kuongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, kwa kushirikiana na Maafisa Mawasiliano Watafiti Hamza Mwangomale na Freddy Lwoga.