Siku ya Lishe Kitaifa 2022

News Image

Imewekwa: 30th Oct, 2022

Naibu Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Godwin Mollel (aliyesimama kushoto) akisikiliza maelezo mafupi kuhusu shughuli zinazotekelezwa na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Mafunzo ya Lishe Dkt. Esther Nkuba wakati alipotembelea banda la TFNC katika maadhimisho ya Siku ya Lishe Kitaifa yaliyofanyika tarehe 29/10/2022 Mikese Mkoani Morogoro