Ugeni kutoka Chuo Kikuu London School of Hygiene & Tropical Medicine

News Image

Imewekwa: 24th Jun, 2025

Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania June 20, 2025 imetembelewa na wageni kutoka Chuo Kikuu London School of Hygiene & Tropical Medicine ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa taasisi pamoja na kubadilisha uzoefu katika programu zinazohusiana na masuala ya Chakula na lishe.