22 Jan, 2026
Mkurugenzi Idara ya Elimu na Mafunzo ya Lishe kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Dkt. Esther Nkuba akiongea na Watoa Huduma za Afya ngazi ya Jamii kutoka jiji la Arusha na Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuhusu mradi wa kupambana na utapiamlo wa kati kwa kutumia mbegu za mchicha na nafaka nyingine, kabla ya kuanza kwa zoezi la kuhakiki ufanisi wa unga mchanganyiko wa mbegu za mchicha na nafaka nyingine katika kupunguza utapiamlo nchini.Zoezi hili limefanya Januari 5, 2026
