TFNC na wadau wa chumvi wakutana kwa maandalizi ya Kitini cha Mpango Jumuishi wa kuweka madini joto kwenye chumvi

Imewekwa: 2nd May, 2021
Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania na wadau wanaojishughulisha na masuala ya chumvi, hivi karibuni wamekutana kuanza maandalizi ya kuandaa Kitini cha Mpango Jumuishi wa kuweka madini joto kwenye chumvi inayozalishwa nchini. Kitini hicho kitasaidia kuwaelimisha viongozi na wazalishaji chumvi nchini