ELIMU YA LISHE KWA VIJANA

News Image

Imewekwa: 13th Oct, 2021

Afisa Lishe Mtafiti Kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Fatma Mwasora akitoa elimu ya Lishe kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda la maonyesho la Taasisi hiyo wilayani Chato mkoani Geita ambako kunafanyika Maadhimisho ya Wiki ya vijana kitaifa kwa mwaka huu yakibeba kauli mbiu isemayo“TEHAMA NI MSINGI WA TAIFA ENDELEVU ITUMIE KWA USAHIHI NA UWAJIBIKAJI”

Maadhimisho hayo yamezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa Oktoba 12,2021.