Mdahalo kuhusu mifumo ya chakula kwa watoto

Imewekwa: 16th Sep, 2021
Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi ya Chakula na Lishe kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Dkt. Elifatio Towo akifungua kikao kazi cha siku mbili cha maandalizi ya mdahalo wa mifumo ya chakula kwa watoto walio katika umri wa kwenda shule na vijana balehe kilichofanyika Jijini Dodoma Septemba 14-15,2021 katika ukumbi wa jeshi la zima moto.
Washiriki wa kikao kazi cha maandalizi ya mdahalo wa mifumo ya chakula kwa watoto walio katika umri wa kwenda shule na vijana barehe wakifuatilia mada zilizokuwa zinawasilishwa kwenye kikao hicho kilichofanyika tarehe 14/09/2021 na 15/09/2021 katika ukumbi wa jeshi la zima moto na uokoaji jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha maandalizi ya mdahalo wa mifumo ya chakula kwa watoto walio katika umri wa kwenda shule na vijana barehe wakijadiliana kwenye makundi wakati wa kikao hicho kilichofanyika tarehe 14-15/09/2021 katika ukumbi wa jeshi la zima moto jijini Dodoma.