Mafunzo Usindikiaji Chakula
Imewekwa: 7th Mar, 2023
|
Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania kwa kushirikiana na Mpango wa Chakula Duniani (WFP) imetoa mafunzo ya usindikaji wa chakula cha nyongeza kwa kutumia mazao yaliyoongezwa virutubishi kibailojia. |
|
|
Mafunzo hayo ambayo yametolewa na wataalamu kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzani, yamehusisha vikundi mbalimbali vya wanawake mkoani Singida. |
