Mkutano wa Tathmini ya saba ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe umefanyika jijini Dodoma

News Image

Imewekwa: 29th Aug, 2023

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe.Angellah Kairuki akimsikiliza Bw. Idd Omary, akisoma ujumbe wa lishe kwa watu wasiiona kupitia kitabu cha maandishi ya nukta nundu kilichoandaliwa na TFNC kupitia ufadhili wa WFP, alipotembelea banda la Taasisi leo Agosti 29, 2023 kabla ya kufungua Mkutano wa Tathmini ya saba ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe, uliofanyika Mtumba Jijini Dodoma
Mkutano wa Tathmini ya Saba ya Utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa mwaka wa 2023 unafanyika jijini Dodoma ukibebwa na kauli mbiu isemayo “Lishe Bora ni Msingi wa Maendeleo ya Taifa Letu” na Mgeni rasmi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mh.Angelah Kairuki (MB)