Kikao cha Baraza la Wafanyakazi kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano TFNC

News Image

Imewekwa: 13th Jul, 2023

Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Laura Maimu, akiwasilisha agenda za kikao cha baraza hilo kilichofanyika 12/07/2023 katika ukumbi wa mikutano wa TFNC

Picha ya Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria Bw. Godfrey Kilolo mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania akichangia mada wakati wa kikao cha baraza hilo

Picha ya Kulia Kaimu Mkurugenzi wa Fedha,Utumishi na Utawala CPA. Ally Zahoro mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania akichangia mada wakati wa kikao cha baraza hilo

Picha ya Kushoto ni Afisa Mtafiti Mwandamizi Uchumi, Samson Ndimanga akiwasilisha mada kuhusu utekelezaji wa shughuli za Taasisi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 pamoja na mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/2024 wakati wa kikao cha baraza la wafanyakazi TFNC kilichofanyika 12/07/2023 katika ukumbi wa mikutano TFNC

Picha ya Kulia ni Gloria Tesha Mjumbe wa RAAWU kanda ya mashariki akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu haki za wafanyakazi wakati wa kikao cha baraza la wafanyakazi TFNC kilichofanyika 12/07/2023 katika ukumbi wa mikutano TFNC jijini Dar es salaam